Huduma Zetu za Kitaalamu

Tunatoa suluhisho la uhakika la kuzuia sauti (Soundproofing), usanifu wa ramani, na ujenzi bora nchini Tanzania.

Soundproofing ya Studio za Muziki

Soundproofing ya Studio za Muziki

Tunazuia kelele na sauti kutoka nje au ndani ya studio yako kwa kutumia vifaa vya kisasa kama acoustic foam, Rockwool, na gypsum boards maalum ili upate sauti safi ya kurekodia.