Rudi kwenye Huduma zote
Soundproofing ya Studio za Muziki
Miradi Tuliyokamilisha Chini ya Huduma Hii
"Soundproofing ya Studio ya Diamond Platnumz - Wasafi"
"Mteja alikuwa anasumbuliwa na kelele za magari kutoka barabarani" Suluhisho lililotolewa: "Tuliweka insulation ya Rockwool layer mbili na gypsum maalum za kuzuia sauti"
Unahitaji Soundproofing ya Studio za Muziki Kwenye Eneo Lako?
Tumia kikokotoo chetu cha makadirio kupata picha ya gharama au wasiliana na mafundi wetu moja kwa moja.