Kazi Zilizopita na Majaribio yetu
Uthibitisho wa kazi zetu za kuzuia sauti na ujenzi bora. Picha za kabla na baada ya ujenzi kukamilika.
Studio ya Muziki
"Soundproofing ya Studio ya Diamond Platnumz - Wasafi"
"Mteja alikuwa anasumbuliwa na kelele za magari kutoka barabarani" Suluhisho lililotolewa: "Tuliweka insulation ya Rockwool layer mbili na gypsum maalum za kuzuia sauti"