Tunasanifu, Tunazuia Sauti, na Tunajenga Ndoto Zako Rasmi.

Kutoka kwenye ramani za 3D (Acoustic design) hadi soundproofing kamili ya studio za muziki, ofisi, kumbi za mikutano, na makanisa.

Huduma Zetu Kuu

Tunatoa suluhisho la kitaalamu kuanzia mwanzo hadi mwisho wa mradi wako.

Soundproofing ya Studio za Muziki

Soundproofing ya Studio za Muziki

Tunazuia kelele na sauti kutoka nje au ndani ya studio yako kwa kutumia vifaa vya kisasa kama acoustic foam, Rockwool, na gypsum boards maalum ili upate sauti safi ya kurekodia.

Soma Zaidi

Kazi Zilizopita (Featured)

Tazama jinsi tunavyobadilisha maeneo kuwa ya viwango vya juu vya soundproof.

Wateja Wetu Wanasemaje